Tuesday, July 9, 2013

mwezi mtukufu wa ramdhani

inawezekana kesho tukauanza mwezi mtukufu wa ramadhani je wewe kama muislam umejiandaa vipi na mwezi mtukufu wa ramadhani.